Hifadhi chochote kilicho wavutini kwenye OneNote kwa mbofyo mmoja

Ongeza OneNote Web Clipper kwenye kivinjari chako cha wavuti ili uweze kuhifadhi, kutoa maelezo na kupanga chochote kutoka kwenye wavuti.

Bana ukurasa wowote wa wavuti
Bana ukurasa wowote wa wavuti
Generic placeholder image

Piga picha wavuti

Piga picha ukurasa wowote wa wavuti kwa haraka kwenye OneNote, ambapo unaweza kuhariri, kufafanua au kuushiriki kwa urahisi.

Generic placeholder image

Ondoa mparaganyo

Punguza mparaganyo na ubane tu makala, resipe, au maelezo ya bidhaa unayohitaji sana

Generic placeholder image

Fikia mahali popote

Fikia kurasa zako za wavuti zilizobanwa kwenye kompyuta, kompyuta kibao au simu yoyote - hata ukiwa nje ya mtandao.